Mfumo rahisi na wa kisasa wa kusimamia mauzo, bidhaa, stock, wateja na taarifa za biashara yako kutoka kwenye simu au computer.
Simamia biashara yako kwa urahisi
Fuatilia bidhaa na stock yako kwa urahisi.
Rekodi na fuatilia mauzo ya biashara.
Hifadhi na simamia taarifa za wateja.
Pata taarifa muhimu za biashara yako.
Jisajili na LEO ERP na pata mfumo wako wa biashara unaoweza kutumia kwenye simu au computer.
Fungua Account